The disappearance of Azory Gwanda (born ca. 1975 – disappeared November 21, 2017) is about a Tanzanian journalist for Mwananchi Communications Ltd in Dar es Salaam, Tanzania, who mysteriously disappeared in late 2017 from his home near Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, Tanzania.
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo...
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?
J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli.
Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii
1. Familia ya Azory GWANDA...
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .
Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
Yaani Wanasheria wa Serikali walinishangaza sana kuleta ushahidi ambao unaonesha watu hawakuwekwa lock-up pale TAZARA wakati wahusika wanajua kabisa waliwekwa lock-up hiyo.
Mashahidi wa Serikali walishadadia sana kwa ushahidi wa sijui Jumanne yule kuonesha kuwa eti watuhumiwa hawakuwa lock-up...
PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali
Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.
Mama kilio cha...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums.
Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya mawazo, akili pamoja na mioyo ya wanaharakati.
Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu...
Hivi hizi familia zina hali gani mpaka sasa, je matumbo yaliyowazaa watu hawa na maziwa yaliyowanyonyesha yanajisikia vibaya kwa kiwango gani?
Najaribu kuvaa viatu vya mama yake Ben na mke wa Azory.
Nishauri utawala huu ukiondoka madarakani ndugu wote waliopotelewa na ndugu zao wajiorodheshe...
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
Wanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao...
Ni Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa...
Nimeinasa kwenye Mitandao ya Kijamii ya usembassytz kuhusu Kaimu balozi wa Marekani kwenda Kumtembelea na kumtakia heri ya Sikukuu Mke wa Muandishi wa Habari za Uchunguzi Azory Gwanda ambaye Alitoweka miaka kadhaa hadi sasa kwa kuchukuliwa nyumbani kwake usiku na Watu wasiojulikana (Siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.