Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa rai kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group kutotoza gharama zisizo himilivu kwa wananchi wanaohitaji usaidizi wa huduma za oksijeni.
Kauli hiyo ametoa Julai 29, 2024 wakati wa uzinduzi...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
Wewe ndo ulipeleka bungeni kwa mara ya kwanza pendekezo hili la tozo. Umesababisha watanzania tuwe tunalipa kodi mara mbili mbili. Umefungua mlango ambao kila mtu mwenye roho mbaya na roho ya wizi waanze kupita kwenye mlango huo.
Nisiongee Sana niende tu moja kwa moja kwenye lengo. Binafsi...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
anafaa
azzanzungu
baada
bunge
bunge la jmt
dada
dada yangu
dkt. tulia
fomu
godwin kunambi
kugombea
kura
magufuli
maslahi
maslahi ya wananchi
mbunge
mchungaji
muungano
nabii
nafasi
ndugai
stephen masele
sugu
tamaa
tanzania
uspika wa bunge
wabunge
wananchi
wengi
yangu
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
Mzee wangu Azzan Zungu anazeeka vibaya, kwani hawezi kuwasilisha hoja yake bila kuwabagua watu? Kwa takwimu gani alizonazo kuweza kuwatofautisha watu waliopo mtandaoni! Nimkumbushe kina Sarungi, Karume, 2014 na wengineo wengi sio wakazi wa huko alipopataja.
Azzan Zungu: Najua hawa wote...
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
======
UPDATES:
Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
Mbunge wa Ilala Azzan Zungu ameunga mkono kodi ya makato kwenye mihamala ya simu na kusema serikali inapoteza mapato makubwa sana, amedai makampuni yana lobby kuwa wananchi wataumia kumbe watakoumia ni wao, amewataka wananchi kuacha kulalamikia kodi kwani serikali inategemea kodi kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.