Serikali ya Ethiopia imetangaza kuundwa kwa serikali ya muda itakayochukua udhibiti wa Jimbo la Tigray, kufuatia majeshi ya nchi hiyo kufanikiwa kutwaa tena udhibiti wa eneo hilo la kaskazini.
Uamuzi huo wa kuweka utawala wa muda wa miezi sita ulitangazwa Ijumaa kupitia taarifa iliyotolewa na...