baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Israeli-Gaza war: Zaidi ya wanajeshi 6 wa Israeli wajiua huku maelfu wakumbwa na matatizo ya afya ya akili

    Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa...
  2. Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

    Habari Yako kaka magical power Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49. Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada...
  3. Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot. Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya...
  4. Guinea na vijisababu vyao vya kitoto baada ya kunyukwa na taifa star!

    GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025 Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the West Africans. In a game played at the Benjamin Mkapa stadium on Tuesday, Guinea says Tanzania...
  5. Nimeachwa na mchepuko wangu baada ya yeye kuwa maarufu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake. Ni Binti mzuri, mdogo na Mrembo. Dogo ana sura ya Mjomba ila kafungisha balaa mtoto yule wa Kinyaki. Hapo katikati...
  6. W

    Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  7. LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  8. Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi. Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
  9. S

    Pre GE2025 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

    Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
  10. Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  11. Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  12. R

    Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

    Mbowe: 1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani 2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa 3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele 4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti 5. Mahakama zinatuangusha 5. Ongeza Erythrocyte Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya...
  13. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  14. Pre GE2025 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  15. U

    Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

    Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
  16. H

    Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  17. Nini natakiwa kufanya baada ya kushinda rufaa ya kufukuzwa kazi na muajiri iliyotolewa naTume ya Utumishi ?

    Habari, naomba kujua cha kufanya Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini. natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
  18. Ni tokea Kikwete apandishe pension ya wastaafu wa Hazina toka 25,000 hadi Laki moja miaka 20 iliyopita hajatokea tena

    Mtu katumika maisha yake ya ujana kwa taifa, wengine wamepigana hadi vita ndani na nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa lakini ndani ya miaka 20 hakumbukwi na hapo kazidi kuwa kikongwe lakini hakuna kiongozi au wabunge (ukiacha Esta Bulaya, Mungu ampe maisha marefu) anaye jali. Ni tokea Kikwete...
  19. Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

    Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa katika majukumu yao. Matiss hao walikimbizwa hospitali ya mjini Tarime kupata matibabu Tarime...
  20. Je baada ya Nyerere ni Lissu?

    Ukija kwa sasa nje ya Nyerere ambaye aliweza kukiri makosa yake kadhaa na kukosoa chama chake! Naona mwingine anayeweza kuthubutu ni Tundu A Lissu, CHADEMA ni chama tegemeo la Ukombozi kwa Watanzania hasa wapenda mabadiliko, Walianza kumbwera au kupoteza ushawishi kwa watu wenye misimamo mikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…