baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Waharifu wamepungua nchini Russia baada ya wafungwa kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kepelekwa Ukraine

    Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
  2. Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  3. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  4. B

    Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

    Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia...
  5. R

    Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

    Salaam, Shalom!! Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba. Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja, Ndugu...
  6. Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
  7. T

    Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  8. Kujihisi kushiba muda wote baada ya kula kidogo

    Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
  9. Imekuwa ni lazima kuosha na kufanya scrub baada ya kunyoa barbershop?

    Kwa nini Barbershop/saluni za sasa mjini wahudumu wanakutazama vibaya sana ukiwaambia hauoshi kichwa au kufanya scrub baada ya kunyoa? Baadhi ya vinyozi kwenye hizi barbershop wakimaliza kukunyoa wanakutelekezea kabisa wadada waoshaji bila hata kukuuliza kama unaosha au hauoshi unapaka tu after...
  10. Q

    Pre GE2025 Siasa zaingia michezoni, baada ya CCM kuja na T-shirt za 'Watoto wa Mama' CHADEMA wamekuja na T-shirt za 'Watoto wa Baba'.

    Dawa ya moto ni moto, hii inaitwa Ubaya Ubwela.
  11. Amejiua baada ya Mume wake kakataa ujauzito

    Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo. Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa...
  12. Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  13. Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
  14. Baada ya kuanza kuchepuka mke wangu ameongeza heshima kwangu

    Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku. Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika...
  15. Tabiri mechi ya Simba Vs Yanga itaishaje baada ya filimbi ya mwisho

    Kama uzi unavyojieleza; Simba 2-1 Yanga Twende kazi,tuone utabiri wako…
  16. Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  17. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  18. LGE2024 Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga Kura

    Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
  19. Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

    Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha. Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi...
  20. M

    Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…