Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana.
Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina...