baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  2. U

    Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  3. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  4. S

    Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  5. Hivi kwenye hesabu za desimali (decimal numbers), baada ya nukta tunatamka tarakimu moja baada ya nyingine au kwa pamoja kama vile nzima?

    Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa majigambo na kujiamini kuwa mteuliwa amepata asilimia themanini na tisa nukta arobaini na mbili...
  6. Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  7. Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

    Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
  8. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  9. Hitimisho baada ya miezi 15 ya kupondwa Hamas na vibaraka wake, haimaniishi ndio kukoma kwao lakini pia haimaanishi ndio pumziko lao

    Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa. Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa. Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi. Ni vita ambayo...
  10. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  11. Baada ya masomo magumu na mazito,sasa tupate burudani kidogo

    Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza...
  12. Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

    Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya...
  13. Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  14. Changamoto ya toyota allex kutowaka baada ya ingine kupata normal temperature

    Wakuu habari, Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
  15. Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  16. Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
  17. Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

    Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...
  18. Netanyahu asusia kwenda kwenye uapisho wa Trump baada ya Trump ku share post inayomkosoa. Kuna usalama kweli?

    Wakuu, Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi? Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump. Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya...
  19. C

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  20. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…