BAAMEDI WA SINZA MORI BY SELEMANI SELE
NO 1.
Maisha n safari na huwez jua kesho yako mungu kaipanga kwa namna gani.
Naitwa marry nimezaliwa mm na mdogo Wangu wa kiume pekee,nilipofika kidato cha tatu baba alifariki na wakati huo mdogo wangu alikuwa darasa la sita.
Kiukwel maisha ya nyunban...