Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali.
Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake.
Pia soma...