baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Kwanini chawa wengi wana makando kando mengi?

    Fikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa . Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Baba Levo atangaza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya Samia kwenye kampeni ya "Mama Hana Deni". CCM ndo mmeishiwa kiasi hiki?

    Wakuu, Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao. Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia. Ni Baba Levo huyu huyu ambaye...
  3. Waufukweni

    VIDEO: Baba Levo amshikisha Alikiba bango la Rais Samia, amgeuza Mashine ya kumpamba Samia

    Wakuu Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.
  4. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Video: Baba Levo amsisitiza Vunja bei aache uoga akagombee ubunge 2025

    Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2025.
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Baba Levo: Nikipewa kadi ya CCM kwenye mkutano mkuu, nitamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT

    Wakuu, Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo. Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo. Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa...
  7. T

    Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
  8. Waufukweni

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo "Sijakutuma kuniombea msamaha"

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu. Barua hiyo inadai kwamba kauli...
  9. MwananchiOG

    Baada ya kudaiwa fidia ya bilioni 10, Msanii maarufu Baba Levo awaangukia Yanga kumsamehe Ahmed Ally

    Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
  10. Waufukweni

    Baba Levo: Majengo ya Kariakoo hayavutii kuwepo mjini, panatakiwa pabaki peupe pyee

    Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji. "Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
  11. M

    Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

    Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake. Kwa upande...
  12. Waufukweni

    Fred Vunjabei amchana Mwijaku, ampa onyo la mwisho

    Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani. Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
  13. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Mimi ni Mtu wa 'Kiki' na mambo mengi ninayoyafanya huwa Nadanganya tu, kwani 'Kiki' inalipa Tanzania

    Haya leo nadhani mmejua kuwa hawa Watu wenu Mitandaoni huko Maisha yao tunayoyaona huwa siyo Uhalisia Oky? Nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Mwenyewe.
  14. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  15. P

    Serikali imchukulie hatua Baba Levo kwa Kuwadhalilisha Walimu

    Wasalamu wakuu. Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania. Maneno aliyozungumza kupitia chombo cha habari achofanyia kazi si maneno mazuri hata kama yana kweli au si kweli kwani hayana...
  16. Teko Modise

    Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  17. D

    Baba Levo: Zitto ni muoga, akiona vita anayokwenda kuingia atashindwa hatii mguu

    Ikiwi Zitto ataamua kuacha kugombea Ubunge Kigomo Mjini Kuna vita kubwa ya nani atakuwa mrithi wake, huku ikionekanwa kuwa tayari Zitto ameshamuanda kipenzi chake.
  18. Mjanja M1

    Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  19. Mjanja M1

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema, "Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
  20. Mjanja M1

    Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

    Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia. Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:- "Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
Back
Top Bottom