15 February 2025
Ikwiriri, Rufiji
Tanzania
BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA
NI KODI ZETU
https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E
Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.
Binti yao huyu Ana 20.
Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.
Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.
Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao...
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya...
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
Haya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3.
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa
Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake
Sasa ananiuliza hapa afanyaje...
Nimeshudia mara nyingi tu kwenye Ukristu kwa wazungu mwanaume anarithisishwa Kampuni na Baba Mkwe wake na anainedeleza vizazi hadi vizazi, tanzagiza utaambiwa usihenge ukweni, mara kiwanja cha mwanamke usijenge, tanzagiza hata maana ya ndoa haieleweki ni mila mbele tu kwanza.
Kwenye ukristu...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku? Unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo...
Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi.
Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda.
Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya...
Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili.
Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua.
Uzuri wife akawa amefaulu...
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa...
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti
Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya...
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.
Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni...
Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro.
Hapa duniani kuna wazee wana pesa hawajui la kuifanyia. Kumtimizia binti yote haya ni madogo...
Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache.
Katika kutafuta...
Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Amewataka:
: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu
: Dorothy ni mke wao
: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko
: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.
: D oroth anasema nilikamatwa na...
afya
akili
babamkwe
bishop
chanjo
dorothy gwajima
gani
gwajima
hata
inatisha
kukosa
kuvunjika
live
matokeo
mbunge
movie
mrembo
nchi
ndoa
nidhamu
roho
sababu
sana
ubaya
uongozi
waziri
waziri wa afya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.