Tumsifu Yesu Kristo wapendwa katika Kristu ninayo furaha kubwa kuchukua nafasi hii kama Mwanaparokia Mzawa wa Ipogolo kukupongeza kwa Baraka za maono yaliyopelekea kupata uongozi wa juu kabisa katika jimbo letu la Iringa itoshe Kusema Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kutusimamia kiroho hasa...