baba swaleh

  1. In 3D there is no future no present only past

    Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it. Buddah said we are all here because we know...
  2. Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

    Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
  3. Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…