1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au...
BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô.
Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi.
Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
Habari Wakuu, nakuja mbele yenu kuomba ushauri, japo nimepata shauri mbalimbali za hapa na pale kwa watu wa karibu na wa mbali niliowahi kukutana nao.
Nianze na historia yangu kwa ufupi. Nilizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90.
Mama alizalia nyumbani kwao wakati bado ni mwanafunzi, haikua rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.