BABA WA KAMBO; MZIMU WA KAMBO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
ANGALIZO:
Mada hii ni Tata, utata wake upo sehemu Mbili;
Moja, Mada inaweza kugusa Maslahi ya Watu hasa Wanawake wasiowaaminifu, waliobambikia Wanaume Watoto wasio waô.
Pili, Viongozi wa Kidini na wale wasioamini Mambo ya Mizimu...