Kwa uelewa wangu mdogo huyu "msaidizi wa paroko" hajakurupuka kuanzisha hii misheni lazima Kuna soko ambalo amelilenga na hiki kivuli cha usaidizi wa paroko ni moja ya kukamilisha misheni chafu ambazo naamini nyingi amekwishazitekeleza na hii imembumia kwa kuwa watanzania walilisimamia kidete...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za...