Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Ndiyo!
Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅
sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali?
Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ".
Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu...
Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.
Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa...
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake.
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha.
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi...
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi.
Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .
Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema
Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
Case study.
Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache.
Hapo Home mna beki tatu moja matata Sana, mali safi toka tanga anatokea kukupenda ila anashindwa...
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua.
Ukweli mchungu...
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
Dukani kwa Mangi nakutana na kijana mmoja barobaro hivi,anamwambia Mangi nipimie maharage,karanga, njugu mawe na nafaka nyingine mbali mbali huku anaendelea kuangalia orodha ambayo ametumiwa na mzazi mwenzake,ilikuwa na maandalizi ya kutengeneza unga WA lishe WA mtoto wao.
Kilichonipeleka Kwa...
Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi
Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
1. Kuna wapigaji wengi.
2. Kuna wanafiki wengi.
3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi.
4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji.
5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza.
6. Ushirikina na kurogana sana.
7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia.
(Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3)
[ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-]
1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba
Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
1. Shikamoo Mama
2. Oya Binti Hujambo?
3. Niaje Wewe Mazeri?
4. Heshima yako
5. Za Kulala na Kuamka Maza
6. Uko poa?
7. Mzima Wewe?
Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu.
Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.