baba yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  2. Baba Yako alipokuwa anakwambia Hana Ulimuona Mchoyo, vipi sasa unaionaje Hali?

    Ndiyo! Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅 sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali? Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
  3. Baba yako ndo chanzo chako hivyo ukimkataa lazima ukose baraka

    Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa. Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki. Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka. Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ". Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu...
  4. Kwanini ukiombewa na Baba yako mambo yanafanikiwa au Baba ndo Mungu mwenyewe ?

    Wakuu huu ni ushuhuda. Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali . Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka. Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata. Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa...
  5. Wazazi mnaowalisha sumu dhidi ya Baba zao, mnajua kuwa baba mzazi ndiye ana kibali cha kumbariki mtoto ili afanikiwe?

    Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake. Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha. Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi...
  6. Jina lipi la utani mlimbatiza baba yako kutokana na ukali wake?

    Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi. Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
  7. Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  8. Usiogope kumwambia mtu yeyote ukweli haijalishi ni mama yako au baba yako.

    Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
  9. Je, unaweza kuthubutu kumchumbia mwanamke ambaye aliwahi kutongozwa na baba yako wa kufikia?

    Case study. Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache. Hapo Home mna beki tatu moja matata Sana, mali safi toka tanga anatokea kukupenda ila anashindwa...
  10. Kama mama yako hajitambui basi lawama zote apewe baba yako

    Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua. Ukweli mchungu...
  11. O

    Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  12. 'Matege Ndani' Baba yako aliyeondoka 'Mazima' aliwashindwa 'Coast Mafias' je, Wewe uliye Mwepesi utawaweza?

    Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.
  13. R

    Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  14. Mama aliniambia Baba yako Amekufa!

    Dukani kwa Mangi nakutana na kijana mmoja barobaro hivi,anamwambia Mangi nipimie maharage,karanga, njugu mawe na nafaka nyingine mbali mbali huku anaendelea kuangalia orodha ambayo ametumiwa na mzazi mwenzake,ilikuwa na maandalizi ya kutengeneza unga WA lishe WA mtoto wao. Kilichonipeleka Kwa...
  15. Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  16. Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  17. Inamaanisha nini kumheshimu BABA yako na MAMA Yako?

    Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia. (Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3) [ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-] 1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
  18. Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  19. Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

    Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu. Tambua bila huyu unaye muita sperm donor wewe usingelikuja duniani, Yeye ndo kakufanya uwe duniani. Sasa mafanikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…