Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua nwepesi katika kujibu na kutoa mawasiliano ya simu.
Sio kitu chepesi kwa upande wangu kutoa...
Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote!
Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu
Baba yangu yeye hajawahi...
Nimefanya makosa makubwa na nimekukosea pakubwa imetosha sasa na nimeamua kukuomba msamaha popote pale ulipo.
Baba nimekua mjeuri kwako kwa kuzani kuna mahitaji ulipaswa kuyatimiza kwangu na umeshindwa kizembe,
Nilikuwa nawaza kuwa:
1) Kusomesha mtoto kwenye shule za gharama ni kitu rahisi
2)...
John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu.
Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa.
Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Kamwene, Ughonile, Mwandila!
Nikiwa kama kijana niliyezaliwa katika familia kubwa ya Watoto 12.
Malezi ya halisi ya kiafrika kutoka jamii ya kabila x nilifundishwwa vyema sana mzee wangu.
Kwanza mzee wangu alihakikisha katika Watoto wake wote wanapata elimu walau ya sekondari kipindi hicho...
Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa
Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .
Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.
Mimi ni last born wa mzee .
Yaani wakuu black people this race is cursed
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini....
Nikiwa nimeingia katika umri wa kubalehe (18 yrs old), nilijikuta naangukia...
Mama yangu alichagua kutoolewa na baba yangu. Alimsihi, lakini alikuwa amependa mtu mwingine. Alijaribu kuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa mdogo, lakini baada ya hapo, kimsingi alitoweka maishani mwangu. Mimi na baba yangu wa kambo hatukuelewana, alikuwa mtu wa kutukana na sote...
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha.
Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,
"Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana.
R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red...
Habari zenu ndugu zangu, naandika nikiwa na hasira kali sana juu ya baba yangu mzazi, mimi ni kijana wa umri wa miaka 48, sijaoa bado ila nina mtoto mmoja, ambaye yupo kwa bibi yake upande wa mama yake.
Mwaka huu mwezi wa tano niliondoka nyumba rasmi baada ya kuona baba yangu ameanza manyanyaso...
Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi.
Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia.
Muda ulikwenda na...
Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida.
Mzee anadai hawezi nyofoka...
Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati.
Twende pamoja.
Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997.
Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa.
Siku...
Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka.
Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo.
Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
Wakuu mmebarikiwa sana.
Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu.
UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs...
Wakuu mmebarikiwa sana sana.
Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne.
Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.