baba yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi niliyopewa na baba yangu kumuhusu Mungu

    Not entertainment
  2. Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  3. Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

    Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini. Moja, mwanamke ukshakuwanaye ndani yeye anawaza namna ya kukutawala na kuhakiksha mnakuwa kama ka...
  4. Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

    Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye. Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white...
  5. Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

    Sehemu ya 1 Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa chochote, ni maji tu ndio tungekuwa tunauhakika nayo Ni mdogo ninamiaka 15 sasa nawaza kuhusu hali...
  6. Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  7. Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

    Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo " Mimi...
  8. Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  9. S

    SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  10. Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  11. K

    Sitasahau nilivyonusurika kuuliwa kinyama na baba yangu mzazi

    Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa tajiri alitembelewa na mganga mmoja wa kienyeji kutoka mahali pasipojulikana Alimpokea na kumchukulia...
  12. Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  13. K

    Baba yangu alichanganyikiwa au?

    Nawasalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi nimezaliwa familia ya kawaida tu, baba yangu alikuwa mwalimu ila aliacha kazi bila sababu za msingi. Nina dada zangu ila wote hawajafanikiwa kimaisha. Huyu baba tukimuulizaga kwanini hakujiwekeza ujanani na wakati alikuwa na uwezo...
  14. Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
  15. Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  16. Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
  17. Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

    Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha. Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya. Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni...
  18. Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

    Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…