Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.
Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?
Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
Wakuu mpo!
Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus.
Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha.
Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,
"Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.