babalevo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Clyton Chipando (Babalevo) alisema wenye akili timamu CHADEMA hawafiki 10

  2. Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  3. Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
  4. Watanzania wakienda kwenye mikutano ya sîasa usidhani wamefuata kûsikia jàmbo la maana. Hufuata vijembe vya Mwijaku na Babalevo

    Wakuu mpo! Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus. Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
  5. Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  6. Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…