babati

Babati is a small town in Babati Urban District of Manyara Region of Tanzania. It is the administrative capital of Babati Urban District and Babati Rural District and also the administrative capital of Manyara Region.

Babati town has developed from a mere village since Babati District was established in 1985. The new status boosted the town into rapid growth. The town is located at the end of Tarangire National Park and at the base of Lake Babati, nestling under Mount Kwaraha (2145 m asl.).

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo. Ujenzi wa miradi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi mwezi Mei 2025 kama sehemu ya kuboresha miundombinu na huduma kwa wananchi. Pia...
  2. DC Babati: Uvamizi maeneo ya serikali, Sitaki kumkuta mtu kwenye eneo la Serikali

    Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali. Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...
  3. Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  4. Pre GE2025 CCM wasikiliza kero za Wananchi Babati. Ally Hapi atoa elfu 50 kwa mstaafu wa jeshi tangu mwaka 1994 ambaye anadai mafao mpaka leo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
  5. Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  6. Ipo wapi Haki ya aliyeingizwa Chupa sehemu za siri Babati?

    Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria? NB: TLS, wanaharakati kulikon?
  7. LGE2024 Babati: Wagombea wa CHADEMA hawakuondolewa kwa uonevu, mtu hawezi kuwa wakala na mgombea kwa wakati mmoja

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
  8. LGE2024 DC Babati: Kura yako ni fyucha ya kitaa

    Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Akizungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda...
  9. LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  10. DOKEZO Wasimamizi wa mtihani wa taifa kidato cha 4 Babati mji waambiwa warudishe kiasi cha pesa walilicholipwa kwa ajili ya usimamimizi

    Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya wahusika wakuu katika zoezi hilo. Wasimamizi hao walipewa kiasi cha pesa kulingana na siku...
  11. Mashindano ya Dk. Samia, Gekul Cup yahitimishwa Babati Mjini, washindi wajinyakulia Tsh. Milioni 1

    Wakuu, Ila siasa bwana, mnahenyesha watu wee kwa Milioni 1? Ila sisi wananchi tumekuwa cheap sana, na hatujui thamani yetu kabisa. Ni mwendo wa kutumiwa tu kila inapokaribia uchaguzi, na sisi bila hiyana kama nyumbu tunatimiza azma zao! ===== Mashindano ya Dk. Samia and Gekul yamehitimishwa...
  12. Manyara: Kimbunga kikali kilivyozua taharuki Mjini Babati

    Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani. Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
  13. U

    TANZIA Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga

    Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga. Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la...
  14. Nataka kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Babati

    Habari zenu wakuu, Naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka Dar kwenda Babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulikuwaje baada ya kufika. Natangulza shukrani kwenu.
  15. U

    Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  16. Bilioni 9.88 Kujenga Lami Barabara ya Dareda Mjini - Dareda Mission Babati

    BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
  17. Rufaa ya Pauline Gekul (Mbunge Babati Mjini) yapigwa kalenda

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani. Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
  18. Mkuu wa Mkoa wa Manyara: Baadhi ya Wananchi wa Kisangaji (Babati) hawataki kujenga vyoo wanajisaidia porini

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sengida amejibu hoja ya Member wa JamiiForums.com aliyedai Wilaya ya Babati, Kata ya Magugu, Kijiji cha Kisangaji kuna Ugonjwa wa Mlipuko wa Kipindupindu lakini Serikali haisemi. Kusoma hoja ya member ipo hapa - Serikali iweke wazi Ugonjwa uliopo Kijiji cha...
  19. LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  20. Mbunge Babati Vijijini Daniel Sillo Akabidhi Mashine za Kuchapisha Mitihani Shule za Sekondari

    MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi yake ya kukabidhi mashine za kuchapisha katika Shule za Sekondari Maganjwa na Arisaayo ili kusaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…