babu wa tiktok

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Dkt. Ndubaro amuongezea faini babu wa TikTok

    Seif Kisauji 'Babu wa TikTok' Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 msanii Seif Kisauji maarufu 'Babu wa TikTok' akimtaka msanii huyo aombe msamaha hadharani kutokana na kosa la kurusha maudhui ya sanaa...
  2. Suley2019

    Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita...
Back
Top Bottom