bachelor degree

  1. G

    Degree inagharimu si chini ya milioni 10, kwa hali ya ajira ya sasa siwezi kumsomesha mtu kozi zenye uhitaji mdogo, heri aende veta au nimpe mtaji

    Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini viwango vimetofautiana kwa kozi Kuna kozi kama Bima, Environment, Philosophy, siasa, Business administration, n.k. Ni ngumu kujiajiri na ni nadra kusikia tangazo la ajira. Wakati huo kusomesha mtu degree bila mkopo kinahitajika kiasi cha milioni 10 kwa...
  2. hk20

    Natafuta kazi/intern, Bachelor of Engineering in Electronics and Telecommunications Engineering

    Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6. Expertise zangu Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT) Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
  3. sanga misuka

    Kujitolea huku unasoma chuo

    Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
  4. DR.POLITICS

    Je unaweza kusoma degree nyingi za fani tofauti kwa mkopo/bila mkopo nchini Tanzania?

    Habari wadau wa elimu, nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili lakini sikupata jibu lenye ukweli ndani yake. Mfano, mimi nina degree/Masters ya engineering, baada ya kuona upepo mtaani hauko vizuri nikapata wazo la kusoma degree ya Mass communication au degree ya accountancy. Pengine kama...
Back
Top Bottom