Wakuu,
Msaada wenu mnaojua vizuri haya mambo. Kijana wangu anapenda sana muziki hasa chombo, kupiga Saxophone. Nataka akasomee hiyo kozi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Ana sifa zote, Division two ACSEE, HGK.
Naomba mnishauri vizuri kabla sijamshrikisha, mimi sio mtaalam haya mambo. Itakuwa ni...