• Mhadhara (80)✍️
Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo.
Tanga ni jiji zuri sana lakini linadorora kwasababu ya uvivu kutoka kwa wenyeji. Ukichelewa kufika...
Moja kwa Moja kwenye mada husikq
Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care
Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri
Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao
Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
Salaam, shalom!!!
Ninapata malalamiko mengi Kwa vijana wangu wengi Walio mtaani wanaopambana kujitafuta Ili wapate chochote kitu Cha kujikimu mahitaji Yao na ya wanaowategemea.
HESLB, bodi ya mikopo, unapomkopesha mwanafunzi wa chuo, lazima unakuwa na taarifa zake, namba ya simu IPO, namba ya...
Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya?
Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani?
Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia.
Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza...
Anaweza jiuza Directly au indirectly, Kundi kubwa lipo kwenye hii package ya indirectly selling
Wapo wanaojiuza...
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns...
Wa Afrika wanajulikana duniani kote kwa ulafi wa madaraka pasipo kufanya maendeleo ya kuridhisha katika nchi zao.
Haikubaliki kiongozi kukaa muda mrefu katika uongozi kana kwamba nchi ya baba yenu, Kwamba kwasababu wewe umeingia msituni kupigania nchi ndio huifanye nchi ya baba yako.
Umri...
Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved.
Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
Imekuwa kawaida watu kukaa kwenye foleni pasipo sababu za msingi, katika hili mnatukwaza wateja wenu.
Bank ina madirisha yakutolea huduma hata 4 lakini unakuta hakuna dirisha hata moja linalofanya kazi na wakijitahidi sana ni dirisha moja ndio utakuta linafanya kazi.
Badilikeni katika hili, hii...
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga.
Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi, haongei sana wala hana muda wakuzozana lakini mwanaume una kuwa na gubu nani atakutaka ata ukija na...
Habari ndugu zangu.
NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikilizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao.
Shame on you. Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu.
Vikao fanyeni...
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights.
Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini.
Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.