The Malindi–Bagamoyo Highway, also Coastline Transnational Highway, is a road in Kenya and Tanzania, connecting the cities of Malindi and Mombasa in Kenya to Tanga and Bagamoyo in Tanzania.
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta.
Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika.
Barabara hii iliwekewa mitaro ya maji ya mvua midogo sana sehemu hizi:
-sehemu za maingiliano ya...
Habari Zenu,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...
Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu.
Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A.
Viko vinne
Vimepimwa
Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road
Karibu na shule
Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa
Huduma za umeme na maji zipo
Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri
Bei ni 46,000 kwa square meter
Ni sehemu hot cake sana...
Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine.
Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.