Habari Zenu,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...