Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka...
Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea.
Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia.
Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya misitu na miji, na mwishowe unaona mbele yake bahari kubwa sana hivi.. Kiasi kwamba kuingia ndani...
Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku.
"Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa...
Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari.
Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
Kebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara.
Kebo hizi ndizo uti wa mgongo wa mtandao wa kimataifa, unaobeba wingi wa mawasiliano ya kimataifa...
Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita...
Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani.
Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
Gari lazama baharini Zanzibar
Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo
kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
Daraja kubwa la Francis Scott Key Bridge lenye urefu maili 1.6 huko Baltimore limegongwa na meli ya mizigo na kizamishwa baharini kabisa huku malori na magari madogo yakizama baharinii
The moment Francis Scott Key Bridge in Baltimore collapsed after a cargo ship struck it in the early hours of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.