Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya misitu na miji, na mwishowe unaona mbele yake bahari kubwa sana hivi.. Kiasi kwamba kuingia ndani...