bahati ndingo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  3. M

    Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  4. Replica

    Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo azungumzia mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Usangu

    "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni fedha nyingi. Tunaona dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais kuhakikisha anafanya Wilaya ya Mbarali na...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo AWAKATIA BIMA Wazee 1,000

    MBUNGE BAHATI AWAKATIA BIMA WAZEE 1000 Katika kuadhimisha siku ya wazee Duniani mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Kanali Denis Mwila amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango wa wazee ikiwa ni pamoja na kutafuta utatuzi wa kero zinazowakabili ikiwemo katika sekta za afya. Mkuu wa Wilaya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo - Ni Heshima Kubwa Kuchaguliwa Kuwa Mbunge Wenu Mpya

    MBUNGE BAHATI NDINGO - NI HESHIMA KUBWA KUCHAGULIWA NANYI KUWA MBUNGE WENU MPYA Anaandika Mbunge Mpya wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Keneth Ndingo. Wapendwa wenzangu wa Jimbo la Mbarali! Ningependa kuwashukuru kwa dhati, ni heshima kubwa kuchaguliwa nanyi kuwa Mbunge wenu mpya. Ninaipokea...
  8. J

    Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

    #CCM BABA LAO, Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa, Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
Back
Top Bottom