Mchezo wa ndondi na shughuli zote nchini Ghana vimesitishwa kufuatia kifo cha bondia wa uzani wa kati, Ernest Akushey, maarufu kama Bahubali, aliyefariki siku 11, ikiwa ni baada ya pambano lake mjini Accra.
Bahubali, mwenye umri wa miaka 32, alifariki dunia siku ya Jumanne. Ingawa chanzo...