Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha.
Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.