Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha.
Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...