Video ya kiungo mshambuliaji wa Harambee Stars, Mohamed Bajaber, akitazama Nairobi United ikicheza dhidi ya KCB, imeongeza mvuto katika kurejea kwake kwenye Ligi Kuu ya Kenya baada ya kuondoka Simba SC ya Tanzania.
Bajaber sasa amethibitishwa kujiunga na Nairobi United kwa mkataba wa miaka...