Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana Dar.
Kwa mawasiliano zaidi tuchekiane inbox kwa sababu ya kupunguza msongamano kwa wasio na nia na kejeri.