bajeti 2024/25

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

    Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee. Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati...
  2. Wizara ya Ardhi

    Naibu Waziri Pinda: Makamishna wa ardhi, kutaneni kupanga mikakati ya utekelezaji wa bajeti

    TABORA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa nchini kuhakikisha wanakutana na kufanya tathmini na kuweka mpango kazi wa utekelezaji Bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mhe. Pinda ametoa...
  3. M

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  4. Mtoto halali na hela

    Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

    Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza. Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya. Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu Ref: EC1022156... Cost 6,557.38 VAT 18% 1,180.33...
  5. Wiston Mogha

    ACT Wazalendo: Bajeti ya Serikali 2024/25 ni ya Matajiri na Kulipa Madeni

    NI LEO Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango. Hakikisha Hupitwi! ====== https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT "Sote tunafahamu kwamba Juni 13 mwaka huu (2024)...
  6. Baba jayaron

    Kinachojiri Kenya maandamano yakukataa Bajeti mpya 2024- 2025 katika picha

    Wasalam wanajumui wa Afrika mashariki, Swala la raia vijana wa Kenya kusimama kwa umoja wao bila kuchoka na kukataa wachache kuwaamulia ndivyo sivyo juu ya maisha yao, kimezua mitazamo tofauti katika ulimwengu. Mitazamo hio imetokana na mlengo wa muhusika anatokea wapi, maeneo mbalimbali...
  7. BLACK MOVEMENT

    Je, Bajeti yetu ni Bora sana? Mbona tuko kimya sana? Vijana Kenya wanaandamana

    Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu. Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa kifungu. Mijadala yao mikuu kwa sasa ni bajeti yao tu hakuna mjadala mwingine. Njoo Tanzania kwenye...
  8. passion_amo1

    Hivi rais kuhidhinisha pesa ili zifanye kazi ni hisani au ni wajibu?

    Wakuu Heshima mbele kwanza. Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇 Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye anayeidhinisha fedha kwenda kutekeleza miradi mbalimbali kwenye majimbo. Sanga amesema hayo wakati...
  9. Mdude_Nyagali

    Tanzania tunapaswa kuwa na sheria kali dhidi ya viongozi mafisadi na wala rushwa

    Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo. Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
  10. Mtuflani Official

    Je, Data za Hotuba za Viongozi huwa zinapikwa?

    Mhe. Hussein Bashe naomba ufafanuzi kidogo kama hautojali. Kwenye hotuba yako ya bajeti umesema kilimo kilizalisha ajira 475,025 mwaka 2023/24. 1. Unaweza kutusaidia ufafanuzi namna hizi ajira zilivyozalishwa na njia uliyotumia kufahamu kwamba kweli idadi hii ilizalishwa? 2. Kama sekta ya...
  11. Suley2019

    Pre GE2025 Mwigulu Nchemba: Upinzani hawafai kabisa watauvunja Muungano

    "Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
  12. Q

    Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

    Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024. Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024. Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga. LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
  13. The Sunk Cost Fallacy 2

    Tutaje tozo ambazo zimependekezwa kwenye msaada wa bajeti ambazo zinaweza leta maumivu Ili zirekebishwe kabla ya vilio kusikika kuanzia July 1

    Serikali imetoa mapendekezo ya Bajeti yake Kwa mwaka 2024/25 yenye zaidi ya Shilingi Trilioni 49.3 na kuainisha vyanzo vya pesa hiyo na matumizi yake. Ni vyema Sasa Wananchi na wadau tujikite kutoa maoni ambayo yatasaidia mjadala wa Bajeti Ili kama Kuna tozo unaona haiko sawa uibainishe na njia...
  14. Kididimo

    Uwiano ya bajeti 2024 kwa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Tanzania Bara siyo sawa. Zanzibar imependelewa zaidi mara 12. Ona hapa

    Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1 Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz Zanzibar Milioni 0.5 (laki 5) . Hivyo uwiano 120: 1. Ukiangalia mlinganyo huo, uwiano wa idadi ya...
  15. B

    Swali: Je hiyo 40% ya kikokotoo ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji?

    Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi...
  16. BabuKijiko

    Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

    Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40% Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
  17. Magazetini

    Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-25

    Leo Bungeni waziri wa uchumi na uwekezaji, Kitila Mkumbo anawasilisha Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-2025. Taarifa hii ndio msingi wa bajeti ya Serikali inayotarajiwa kusomwa baadae leo na waziri Mwigulu Nchemba. Kaa nami =======...
  18. J

    Watanzania wanaweza kuiga wakenya kuieleza ukweli huu wa bajeti ya Kenya ya 2024/25

    Wakuu, nimekuta ripoti ya gazeti la thestandard la kenya toleo la leo kuhusu maoni ya wananchi baada ya bajeti hiyo kupendekeza mambo kadhaa hasa ongezeko la.kodi. Wiki ijayo Mwigulu Nchemba, ambaye aliwahi kudokeza kuongeza tozo, atawasilisha bajeti ya serikali ya 2024/2025. Wananchi wa Kenya...
Back
Top Bottom