Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu.
Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa kifungu. Mijadala yao mikuu kwa sasa ni bajeti yao tu hakuna mjadala mwingine.
Njoo Tanzania kwenye...
Leo Bungeni waziri wa uchumi na uwekezaji, Kitila Mkumbo anawasilisha Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-2025.
Taarifa hii ndio msingi wa bajeti ya Serikali inayotarajiwa kusomwa baadae leo na waziri Mwigulu Nchemba.
Kaa nami
=======...
Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti.
Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023
1. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.