bajeti kuu 2024/2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mwigulu: Nauli ya Dar kwenda Dodoma kwa treni ya Standard Gauge ni Takriban 30,000

    Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine. Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa...
  2. Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itasomwa leo tarehe 13 Juni, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. ====== Mwigulu amenza kusoma bajeti na anaanza kwa kuzitaja shabaha za uchumi Kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la Taifa kufikia 5.4% kwa mwaka 2024 Kuendelea kudhibiti kasi ya mfumuko...
  3. Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

    Pichani ni Luhaga Mpina Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge. Dk Tulia ametoa maelekezo hayo wakati akiahirisha Bunge leo Jumanne ya Juni 4, 2024 baada ya mbunge huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…