Wasalam wanajumui wa Afrika mashariki,
Swala la raia vijana wa Kenya kusimama kwa umoja wao bila kuchoka na kukataa wachache kuwaamulia ndivyo sivyo juu ya maisha yao, kimezua mitazamo tofauti katika ulimwengu.
Mitazamo hio imetokana na mlengo wa muhusika anatokea wapi, maeneo mbalimbali...
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu.
Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula ambapo ni rahisi kuagiza mafuta kenya kuliko yanayozalishwa nchini.
Kadi katika mitandao ya simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.