NI LEO
Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango.
Hakikisha Hupitwi!
======
https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT
"Sote tunafahamu kwamba Juni 13 mwaka huu (2024)...
Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu.
Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa kifungu. Mijadala yao mikuu kwa sasa ni bajeti yao tu hakuna mjadala mwingine.
Njoo Tanzania kwenye...
Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta usawa kwa magari yanayotumia mafuta.
Swali langu kwa Mwigulu, kwanini ahangaike na kuleta usawa na...
Waziri Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango ya kupandisha hadhi ya Tanzania kuwa na uchumi wa kidijitali na mojawapo ya hatua kubwa inayochukuliwa ni kuwa mfumo madhubuti ya kidijitali itakayowezesha wananchi kufanya malipo kwa urahisi popote kwa gharama nafuu
Serikali kupitia Benki kuu...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC.
Mwigulu amesema hayo akisoma hotuba ya bajeti bungeni ambapo amesema deni lililopo limefanya mambo mengi mazuri ikiwemo...
WADAU wa Bandari wameishauri serikali kuruhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea kukusanya tozo itokanayo na huduma za bandari (wharfage) kama ilivyo sehemu zote duniani.
Ushauri huo umetolewa wiki hii na wadau hao pamoja na wachumi, ikiwa ni miezi michache baada ya wabunge kutoa...
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.
Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea...
Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano.
Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali?
====
Pia soma:
- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha...
Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024
===
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
bajetikuu 2024/2025
bajetikuutanzania
michezo tanzania
mwigulu nchemba
soka tanzania
uboreshaji sekta za michezo
var michezoni
var tanzania
wizara ya fedha
Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu.
Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa...
Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.