Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
NI LEO
Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango.
Hakikisha Hupitwi!
======
https://www.youtube.com/live/b83BKum1V0w?si=HuB4gP2CaV4cX3hT
"Sote tunafahamu kwamba Juni 13 mwaka huu (2024)...
Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528 zimeharibiwa kutokana na hali hiyo. Waziri amesema barabara hizo zimeanza kujenga na baadhi zimeanza kuwa...
WADAU wa Bandari wameishauri serikali kuruhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea kukusanya tozo itokanayo na huduma za bandari (wharfage) kama ilivyo sehemu zote duniani.
Ushauri huo umetolewa wiki hii na wadau hao pamoja na wachumi, ikiwa ni miezi michache baada ya wabunge kutoa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja idadi ya ajali zilizotokea Tanzania kwa mwaka ambapo ametaja kuwa kumerekodiwa ajali 1093 ambapo zimesababisha vifo 7636 na majeruhi 12663 ambapo wengine wana ulemavu wa kudumu.
Aidha ametaja kuwa suala hili ni chanzo cha yeye pia kuondolewa uwaziri...
Mwigulu Nchemba akisoma bajeti ya serikali bungeni amesema suala la taasisi binfasi na za umma kutaka malipo ya huduma kwa fedha za kigeni zinaleta shida kwa watanzania kwa kuwa wanatumia Tsh na sio dola.
Amesema suala hili linafanya watanzania kuhangaika kuipata dola, wakati inabidi hata...
Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itasomwa leo tarehe 13 Juni, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.
======
Mwigulu amenza kusoma bajeti na anaanza kwa kuzitaja shabaha za uchumi
Kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la Taifa kufikia 5.4% kwa mwaka 2024
Kuendelea kudhibiti kasi ya mfumuko...
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu.
Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula ambapo ni rahisi kuagiza mafuta kenya kuliko yanayozalishwa nchini.
Kadi katika mitandao ya simu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023
1. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.
Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa...
Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
Mchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali.
Aidha amempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusanya Wadau wa kiditali ili waweze...
Salaam Wakuu,
Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha.
Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo?
1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22.
Kati ya matarajio ya bajeti...
Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.
Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.