Wakuu,
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka shilingi trilioni 49.346 iliyoidhinishwa awali hadi shilingi trilioni 50.291.
Nyongeza hiyo imewasilishwa na Waziri wa Fedha...
Ununuzi wa umma unachukua sehemu kubwa ya matumizi ya Serikali barani Afrika, ikihusisha zaidi ya asilimia 70 ya bajeti ya nchi. Hii inatoa fursa kubwa lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo dosari za vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma.
Taarifa za Wakaguzi Wakuu wa...
Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania 👇👇👇👇
Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi...
Nyumba ya kawaida ilitakiwa ilipie kodi ya jengo walau 5000/ kwa mwezi
Waafrika tunadhalilishwa kwa...
Unaweza usiamini ila ndo pesa za sisi walipa kodi zinapotea huku hapo bado kufanyiwa service, mafuta na takataka zingine.
Piga hesabu ndani ya miaka 10 pesa ngapi inapotea? Kwa dizaini hii tutaacha kukopa?? Juzi hapa Waziri wenu wa Fedha kanunua gari ya 800 milioni.
Inasikitisha sana kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.