Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya viwanda ktk nchi yetu. Wakati huo huo tunailalamikia bidhaa kupanda bei.
Mimi sikutegemea malalamiko ya bidhaa kupanda Bei kwa muda huu ambapo tunahangaika kufufua viwanda.
Kwa mtazamo wangu kwa hatua hii ya awali ya kuendeleza sekta ya viwanda...
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.