Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika.
Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na...