bajeti ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umuhimu wa kujiwekea kiwango cha chini cha umasikini binafsi usiovumilika

    Hatupaswi kuishi jumlajumla. Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke. Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana...
  2. Mbunge awasilisha Mswada wa Kuwafunga Wakenya wanaoandamana bila vibali

    Mbunge kutoka Mberee Kaskazini, bwana Geoffrey Ruku amewasilisha Bungeni, muswada utakaowezesha Wakenya kufungwa kwa mwaka mmoja, faini ya Tsh. 2,000,000 (Ksh. 100,00) au vyote kwa pamoja kw awakenya watakaoandamana bila ya kuwa na vibali stahiki. Kulingana na mswada huo, taarifa ya maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…