Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi.
Tatizo la bandari yetu kuchangia bajeti 37% ni kwasababu ya usimamizi mbovu ambapo hupelekea baadhi ya vigogo wa serikali na watu mashuhuri kipitisha...