bajeti ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  2. ChoiceVariable

    IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

    Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi. Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
  3. J

    Watanzania wanaweza kuiga wakenya kuieleza ukweli huu wa bajeti ya Kenya ya 2024/25

    Wakuu, nimekuta ripoti ya gazeti la thestandard la kenya toleo la leo kuhusu maoni ya wananchi baada ya bajeti hiyo kupendekeza mambo kadhaa hasa ongezeko la.kodi. Wiki ijayo Mwigulu Nchemba, ambaye aliwahi kudokeza kuongeza tozo, atawasilisha bajeti ya serikali ya 2024/2025. Wananchi wa Kenya...
  4. OLS

    Muhtasari wa Bajeti ya Tanzania ya Mwaka 2023/2024: Mkanganyiko wa mipango ya bajeti

    Uwasilishwaji wa bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/2024 umesababisha hisia tofauti miongoni mwa sekta mbalimbali za uchumi. Ingawa bajeti hiyo inajumuisha hatua kadhaa zinazolenga kukuza uchumi na uwekezaji, pia kuna mambo ambayo yana haja ya uchunguzi na uhakiki zaidi. Moja ya maeneo...
Back
Top Bottom