bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika. Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea. Pointe to remember Aug2023 Mabadiliko ya...
  2. Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  3. SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  4. S

    Kwanini bajeti ya Waziri Mchengerwa haina kelele za rushwa kama wizara ya Makamba?

    Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati. Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
  5. F

    Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  6. Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  7. Tujuane ambao tukivurugwa na mapenzi bajeti ya pesa inavurugika , matumizi yanazidi na tabia zngine ikiwepo na kuvuta pisi mpya fasta.

    Helllo, Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out...
  8. Wizara ya Nishati yaomba Bajeti ya Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka 2023/24

    Bajeti hiyo imewasilishwa Bungeni na Waziri #JanuariMakamba ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2023/24 ambapo kuna ongezeko la Tsh. Bilioni 142.65 kutoka Tsh. Trilioni 2.91 zilizoombwa mwaka 2022/23. Kuhusu hali ya Umeme Nchini, amesema hadi kufikia Mei 15, 2023 uzalishaji ni Megawati...
  9. S

    Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  10. Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
  11. Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24
  12. Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23

    Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
  13. Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  14. Hotuba ya Waziri George B. Simbachawene Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
  15. Hotuba ya Waziri Kassim Majaliwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge 2023/2024

    Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
  16. Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  17. J

    TBC yakata matangazo wakati majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na uchukuzi, nini kinafichwa?

    SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi...
  18. Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

    Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa...
  19. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 212.4 kwa mwaka 2023/24

    Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  20. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…